Picha: Mapokezi ya Carlos Tevez nchini China

0
436

Mamia ya mashabiki wa klabu ya Shanghai Shenhua wamejitokeza katika uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea mshambuliaji mpya wa timu hiyo Carlos Tevez akitokea Bocca Junior ya Argentina.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 amesajiliwa na klabu hiyo kwa ada ya uhamisho paundi milioni 40 ambapo leo atatambulishwa kwa mashabiki kwenye uwanja wa timu hiyo Hongkou.

Tevez atapokea mshahara wa paundi laki 310,000 kwa wiki ambapo anakuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko mchezaji yoyote dunia.

Picha za mapokezi hayo

tevez-2

tevez3

tevez4

tevez5

LEAVE A REPLY