Mkali wa Bongo Fleva, Alikiba jana amewasili nchini kutoka Afrika Kusini alipokwenda kufanya ziara yake ya kimuziki nchini humo.

Alikiba aliwasili majira ya saa nane mchana katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere (JNIA) na kupokelewa na umati wa watu ambao wengi ni mashabiki wake kutoka Team Kiba.

Picha za mapokezi hayo.

kiba-2

kiba-3

kiba-4

kiba-5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *