Manchester United imefanikiwa kushinda kombe la EFL baada ya kuwafunga Southampton 3-2 kwenye mechi ya fainali iliyofanyika katika uwanja wa Wembley jana.

Magoli ya Manchester United yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic aliyeshinda magoli mawili na goli lingine likifungwa na Jesse Lingard.

Kwa upande Southampton magoli yote yamefungwa na mshambuliaji wao mpya Gabbiadin.

man-u-1

man-u-2

man-u-4

manu-5

manu-6

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *