Picha: Kinana akutana na kufanya mazungumzo na balozi wa China Lu Young

0
381

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Dk Lu Young Ofisi ndogo ya Chama hicho maeneo ya Lumumba jijini Dar es Salaam.

Kinana akisalimiana na balozi wa China
Kinana akisalimiana na balozi wa China
Kinana akimkaribisha balozi wa China nchini Lu Young leo ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
Kinana akimkaribisha balozi wa China nchini Lu Young leo ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
Balozi wa China akisalimiana na Katibu mpya wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinza.
Balozi wa China akisalimiana na Katibu mpya wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinza.

LEAVE A REPLY