Taifa stars leo inashuka dimbani kupambana dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe kwenye mechi ya kirafiki itakayofanyika katika mji wa Harare nchini Zimbabwe.
Picha za mazoezi ya Taifa stars jana kabla ya mechi ya leo.