Mazishi ya aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta yamefanyika jana katika Wilaya ya Urambo mkoani Tabora.

Viongozi mbali mbali waliudhuria mazishi hao akiwemo waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Picha 5 za Mazishi hayo.

Mama mzazi: Mama mzazi wa Samuel Sitta, Bi Zuwena Said Fundikira akiweka udongo kwenye kaburi ka mwanawe.
Mama mzazi: Mama mzazi wa Samuel Sitta, Bi Zuwena Said Fundikira akiweka udongo kwenye kaburi ka mwanawe.

Mjaliwa Kassim: Waziri mkuu akiweka udongo kwenye kaburi la Samuel Sitta.

Majaliwa Kassim: Waziri mkuu akiweka udongo kwenye kaburi la Samuel Sitta.

Familia: Familia ya Samuel Sitta, watoto pamoja na wadogo zake wakishika jeneza la Samuel Sitta wakati wa mazishi.

Familia: Familia ya Samuel Sitta, watoto pamoja na wadogo zake wakishika jeneza la Samuel Sitta wakati wa mazishi.

Nduai: Spika wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Samuel Sitta.
Ndugai: Spika wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Samuel Sitta.
Magreti Sitta: Mjane wa Samuel Sitta akiweka udongo kwenye kaburi la mumewe.
Magreti Sitta: Mjane wa Samuel Sitta akiweka udongo kwenye kaburi la mumewe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *