Kesho Disemba 10 historia itaandika nchini Tanzania katika ukumbi wa Mlima City kwenye siku ya utoaji tuzo za Eatv 2016 ambazo zinahusisha muziki na filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Sherehe hizo zitafanyika katika ukumbi wa Mlima City jijini Dar es Salaam na kushirikisha wasanii tofauti kutoka ukanda wa Afrika Mashari huku mshehereshaji wa sherehe hiyo atakuwa mtangazaji wa kipindi cha Ngazi kwa Ngazi, Salama Jabir.

Tuzo hizo zinavipengele 10 ambapo wasanii kibao watawania tuzo hizo zinazoanaza kutolewa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Tazama baadhi ya picha za maandalizi ya utoaji wa tuzo hizo Mlimani City.

 

eatv3

eatv1

eatv2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *