Chama Cha Mapinduzi CCM leo kimefanya mkutano maalum wa Chama hicho mkoani Dodoma kwa ajili ya kufanya marekebisho ya Katiba ndani ya chama.

Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt John Pombe Magufuli na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali ndani ya CCM akiwemo mwenyekiti msataafu, Jakaya Kikwete.

Tazama baadhi ya picha za mkutano huo leo.

 

5r7a3192

5r7a3213

5r7a3244

imgs0877

imgs1171

john-pombe-magufuli-new-ccm-chairman-tanzania

oth_3881

oth_3934

oth_7320

rg1a0483

rg1a0503

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *