Mmiliki mwenza wa klabu ya West Ham, David Sullivan ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa Dimitri Payet ana thamani ya £100m, lakini kwa sasa ‘HAUZWI’.

Sullivan amelazimika kutoa kauli hiyo baada ya klabu kubwa za barani ulaya ikiwemo miamba ya Hispania na mabingwa wa Playa kwa ngazi za vilabu Real Madrid kuanza kumtolea macho Payet hook wakikiri kushindwa kwenye mbio za kumuwania king mwingine wa Ufaransa, Paul Pogba.

Je, msimu mmoja umeipandisha thamani ya Payet kufikia kiwango hicho cha pesa?

NOT FOR SALE? Dimitri Payet akishangilia moja ya magoli aliyoifungia West Ham United
NOT FOR SALE? Dimitri Payet akishangilia moja ya magoli aliyoifungia West Ham United

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *