Baada ya Diamond kuachia verse nyingine na kuwaponda Alikiba na Ommy Dimpoz, hatimaye Ommy Dimpoz amejibu verse hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

Verse zinazodaiwa kumgusa Ommy Dimpoz ‘Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa vi-top na vibukta/ Hawatoi ngoma kazi twiter kunisuta, kusafiria nyota nawapa pia na jua ruksa/ Wengine vishavu nukata, hips kama tuta, najiuliza ni nani au wameumbwa na hulka/Wapo pamoja post sina mafuta, msiniletee nuksi huwa silagi vipusa’

Ommy Dimpoz amedaiwa kujibu mapigo, ingawa ni mafumbo lakini mashabiki wamedai kuwa dongo hilo la Dimpoz limemlenga Dimaond Platnumz.

ommy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *