Rais mstaafu wa Marekani, Barrack Obama amesema kuwa hafurahishwi na maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kumpinga Trump.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya rais huyo wa zamani Barack Obama imesema kwamba raisi huyo wa zamani anakerwa na maandamano yanayoendelea nchini humo kupinga tamko la raisi Donald Trump kutaka kuweka vizuizi vya uhamiaji juu ya wasafiri kutoka kwa baadhi ya nchi za Kiislamu.

marekani

Msemaji wa rais Barack Obama, Kevin Lewis amesema kwamba rais mstaafu kimsingi hakukubaliana na wazo la ubaguzi dhidi ya watu kwa sababu ya dini yao.

Na kuongeza kusema kwamba wananchi wanatumia haki yao ya kikatiba ya kusikilizwa na viongozi waliochaguliwa na ndiyo matarajio yao pindi Marekani inaingia hatarini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *