Nchi ya Norway imeibuka kinara wan chi zenye furaha zaidi duniani ikiipiga kikumbo nchi jirani ya Denmark kutoka kwenye nafasi ya kwanza.

Taarifa ya Siku ya Furaha Duniani hupimwa kwa kuuliza maswali yanayohusu hisia za watu ikiwemo kwa namna gani wanafuraha na kwanini.

Nchi za Denmark, Iceland, Switzerland na Finland zimeshika tano bora wakati nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imeshika nafasi ya mwisho kabisa huku Tanznaia ikishika nafasi ya 153.

norway

Nchi kubwa duaniani za Marekani na Uingereza zimeshika nafasi ya 14 na 19.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *