Staa wa Hip Hop na mkali kutoka Ilala, Dar es Salaam, Chid Benz a.k.a FIRE amerudia tean kutumia dawa za kulevya.

Chidi amerudia matumizi hayo hata baada ya kuanza kupokea msaada wa tiba za kuachana na dawa za kulevya kutoka kituo maalum cha msaada huo kilichopo Bagamoyo.

Mkurugenzi wa kundi la Tip Top Connection, Babu Tale alikuwa ni mmoja wa wadau waliofanikisha kupelekwa kwa Chidi kwenye rehab hiyo kwa kushirikiana na mwanaharakati wa dawa hizo rapa, Kalapina.

Hata hivyo staa wa kundi la WATEULE, Solo Thang ameshare video ya rapa Chid Benz akiwa katika hali mbaya ya dawa za kulevya walipokutana jijini Dar es Salaam.

Chidi asaidiwe vipi?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *