Mwandishi mkongwe wa habari za burudani, Fredrick Bundala ameamua kuja na uchambuzi wake juu ya ngoma mpya ya Ali Kiba aliyofanya na mkongwe Yvonne Chakachaka.

Je, ni kweli ngoma hiyo mpya itampa Kiba nafasi kubwa zaidi Afrika Kusini au itakuwa ushindani zaidi na Diamond Platnumz baada ya staa huyo kuhamishia makazi nchini humo.

Hebu msikie Bundala a.k.a Skywalker kisha utoe maoni yako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *