New Video: Navy Kenzo ft Wildad- Feel Good

1
790

Kundi maarufu la Bongo fleva nchini Navy Kenzo limeachia video mpya ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la ‘Feel Good’ ambao unapatikana kwenye albam yao mpya ya Above In a Minute.

LEAVE A REPLY