Mwanamuziki wa Bongo fleva aliyefanya vizuri miaka ya nyuma, Grace Matata ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa kwa jina la ‘Utanifaa’.

Itazame hapa kwa mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *