Ndege zimegongana katika anga la eneo moja la shughuli nyingi za kibiashara nchini Canada kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.

Rubani mmoja amefariki na mwengine kureruhiwa vibaya sana kutokana na ajali hiyo mbaya iliyotoke nchini humo.

Police wamesema hata ni miujiza kwamba hamna mtu mengine yeyote aliyejurihiwa licha ya ndege moja ya hizo kuanguka juu ya paa la mojawapo ya maduka makubwa la eneo hilo nje kidogo mwa mji wa Montreal;

Ndege nyengine ilianguka eneo la kuogesha magari kutokana na ajali hiyo iliyoteka katika anga hilo.

Ndege zote ni za aina ya Cessnas kutoka shule moja ya ukufunzi wa urubani .mbaya ya hewa ndio unadhaniwa kusababisha ajali hiyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *