Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka na kuweka wazi kuwa kesho tarehe 16 ataachia rasmi ngoma yake mpya aliyofanya na mwanamuziki mkongwe Mr Blue.

Nay wa Mitego ametangaza ujio wa kazi yake hiyo aliyomshirikisha Mr Blue ambapo ametangaza kuiachia alhamis hii.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay wa Mitego ameandika kupitia Instastory kwa kuandika Rais wa Kitaa ft Mr Blue Alhamis Hii Tar 16″.

Hiyo ndio itakuwa ngoma ya kwanza kuwakutanisha wanamuziki hao wa Bongo Fleva toka waanze muziki huku ngoma ikiwa ni ya Nay ambapo amempa shavu Mr Blue.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *