Kundi la Sauti Sol na Navy Kenzo wametajwa kuwania tuzo ya kundi bora la mwaka Afrika Mashariki kwenye tuzo za EATV Awards zitakazotolewa mwaka huu.

Makundi hayo yalikuwa pamoja kwenye kipengele kama hicho kwenye tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Johannesburg nchini Afrika Kusini na Sauti Soul kuibuka na ushindi.

sauti-sol-696x521

Kipengele cha tuzo hiyo kipo kama ifuatavyo

  1. Wakali Wao (Tanzania)
  2. Sauti Soul (Kenya)
  3. Team Mistari (Kenya)
  4. Mashauzi Classic (Tanzania)
  5. Navy Kenzo (Tanzania)

Tuzo za EATV zimeandaliwa na kituo cha TV cha East Africa TV zinatarajiwa kutolewa mwishoni mwa mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *