Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na mbunge wa Kisarawe, Suleimani Jafo amekabidhi madawati 537 kwa shule za msingi zilizopo Wilayani Kisarawe mkoani Pwani.

JAFO AKIBABIDHI MADAWATI

Baada ya kukabidhi madawati hayo Naibu Waziri huyo aliongea na walimu pamoja na wanafunzi wa Shule ya msingi Kibasila iliyopo Kisarawe mkoani Pwani pamoja na kukagua ujenzi wa nyumba za walimu na vyoo vya wanafunzi.

Vile vile Bw. Jafo amekagua ujenzi wa bara bara inayojengwa kwa mfuko wa jimbo wilayani humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *