Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanaume wa kumuoa.

Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja.

Maandishi hayo kwenye bango hilo yaliosema kuwa “Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba”.

Mwanamke akusema kuwa kama kwanini ameamua uamuzi wa kufanya kitendo hicho ambacho si kawaida kutokea machoni mwa watu.

Histori hiyo aina tofauti na iliyotokea jijini Dar es Salaam ambapo mzee mmoja aliandika bango na kuandika sifa za mwanamke anayetaka kumuoa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *