Wimbo wa Mwana FA ‘Dume Suruali’ umefikisha views milioni 2 kwenye mtandao video wa YouTube kwa kipindi cha mwezi mmoja tu.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Mwana FA amesema kuwa si kitu cha kawaida katika muziki wake licha ya wasanii wenzake kufikisha idadi hiyo ya views kwa muda mchache.

FA ameandika “Najua najua, kwamba sio namba kubwa hii kwa baadhi ya wasanii,actually ni kanamba flani kaduchu tu,ila kwangu its a big deal..kwa hivyo sitakaa niigize hapa kuwa ‘this is how we do it’ na ‘it’s normal’,no it’s not,sio kawaida, nashangaa, asanteni sana,”.

Pia aliandika Aliongeza”how about tukifika 3m tunatoa ngoma nyingine?n ow lets get to 3m. shukrani sana!…Nawaombea Wiki Njema Mahangaikoni… #DumeSuruali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *