Mkali wa Hip Hop, Izzo Bussinez amesema kuwa miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka huu kutokana na muziki ni pamoja na kujenga nyumba kwao Mbeya.

Izzo Bussiness amesema kuwa mwaka huu 2016 kupitia muziki wake ambapo amesema kuwa amefanikiwa ingawa siyo kwa asilimia 100 lakini amefanikiwa kwa asilimia 90 na anamshukuru Mungu.

 

Amesema katika mafanikio yake ameweza kujenga  nyumbani kwao Mbeya na kuweza kuanzisha kundi la The Amazing ambalo mpaka sasa linafanya vizuri.

Izzo Bussiness ni mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop nchini ambao wameweza kufanya kazi nzuri na mwaka huu ameweza kutoa ngoma kupitia kundi la The Amazing ambalo yuko na mwanadada anayeitwa Bella Music.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *