Mtoto wa pili wa mwanamuziki, Diamond Platnumz anayeitwa Nillan amefikisha followers 56,756 kwenye mtandao wa Instagram ikiwa ni siku 10 toka afunguliwe akaunti.

Diamond amekuwa ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaendesha maisha yao kibiashara ktukana na umaarufu wake katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva.

Mtoto wa kwanza wa muimbaji huo, Princess Tiffah ambaye ana followers milioni 1 katika mtandao huo, alianza kupata deal kubwa za matangazo katika umri mdogo.

Kwa sasa watoto hao bado wanaishi na mama yao Zari nchini Afrika Kusini ambapo Diamond amenunua nyumba nchini humo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *