Ligi kuu ya Uingereza msimu mpya umeanza mwisho wa wiki iliyopita ambapo jumla ya mechi 20 zimechezwa katika viwanja 10 tofauti.

Msimamo wa ligi hiyo  baada ya mechi hizo ambapo Manchester United wanaongoza kwenye msimamo huo baada ya kushinda 4-0 dhidi ya West Ham jana.

Msimu jinsi ulivyo.

Team P GD Pts
1 Man Utd 1 4 3
2 Huddersfield 1 3 3
3 Man City 1 2 3
4 Tottenham 1 2 3
5 Arsenal 1 1 3
6 Burnley 1 1 3
7 Everton 1 1 3
8 West Brom 1 1 3
9 Liverpool 1 0 1
10 Watford 1 0 1
11 Southampton 1 0 1
12 Swansea 1 0 1
13 Leicester 1 -1 0
14 Chelsea 1 -1 0
15 Bournemouth 1 -1 0
16 Stoke 1 -1 0
17 Brighton 1 -2 0
18 Newcastle 1 -2 0
19 Crystal Palace 1 -3 0
20 West Ham 1 -4 0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *