Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea mwisho wa wiki kwa mechi za 17 za mzunguko wa kwanza katika ligi hiyo maarufu duniani.

Msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi hizo

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza kufikia 19 Desemba, 2016
Nambari Klabu Mechi Mabao Alama
1 Chelsea 17 24 43
2 Man City 17 16 36
3 Liverpool 16 20 34
4 Arsenal 17 19 34
5 Tottenham 17 17 33
6 Man Utd 17 7 30
7 Southampton 17 1 24
8 West Brom 17 2 23
9 Everton 16 1 23
10 Bournemouth 17 -5 21
11 Stoke 17 -5 21
12 Watford 17 -8 21
13 West Ham 17 -12 19
14 Middlesbrough 17 -3 18
15 Leicester 17 -6 17
16 Burnley 17 -12 17
17 Crystal Palace 17 -4 15
18 Sunderland 17 -13 14
19 Swansea 17 -17 12
20 Hull 17 -22 12

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *