Mr Blue kuachia ngoma mpya

0
69

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Mr Blue amewaweka mashabiki wake wakae mkao wa Kula muda wowote anaweza kuachia project yake mpya hivi karibuni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mr A.K.A Byser ameandika -“Hello Guys !! Nna zawadi yenu Kubwaa week hi” aliandika mwanamuziki huyo

Baada ya kukaa kwa muda mrefu mwanamuziki amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula na kuipokea preject yake mpya kwani imeshakamilika.

Mwanamuziki huyo aliyetamba na ngoma kama Blue Blue, Mapozi na Mboga Saba amesema kuwa project hiyo mpya itakuwa kali hivyo wakae kwa kuisubili.

LEAVE A REPLY