Jose Mourinho na Pep Guardiola watakutana tena kwenye mechi ya kombe la ligi mzunguko wa nne baada ya Manchester United kupangwa na Manchester City kwenye kombe hilo, mechi hiyo itafanyika katika uwanja wa Old Trafford.

Guardiola tayari ameshashinda Manchester Derby msimu huu baada ya Manchester City kuifunga Manchester United 2-1 kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uigereza iliyofanyika septemba 10 mwaka huu.

Mechi hiyo ya Manchester Derby inatarajiwa kufanyika Oktoba 24 katika uwanja wa Old Trafford.

Ratiba kamili ipo kama ifuatavyo.

West Ham v Chelsea

Manchester United v Manchester City

Arsenal v Reading

Liverpool v Tottenham

Bristol City v Hull City

Leeds v Norwich

Newcastle v Preston

Southampton v Sunderland

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *