Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta Azania, kimeteketea kwa moto leo majira ya asubbuhi.

Chanzo cha moto huyo ni gari la kubebea mafuta lililokuwa likipakua shehena ya mafuta kituoni hapo, kupata hitilafu na kushika moto.

maji

Moto huo mkubwa umesababisha barabara kufungwa, na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya pande hizo mbili, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiendelea na juhudi za kuudhibiti moto huo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *