Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji amefanikiwa kuingia orodha ya 20 bora ya matajiri barani Afrika kutokana na biashara zake.

Orodha hiyo imetolea na Jarida la Forbes kulingana na uchunguzi uliofanywa na jarida hilo kuhusu matajiri duniani.

Mohamed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970.

Kampuni hiyo inahusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta mbapo inasambaza ndani na nje ya nchi.

Kampuni hiyo huendesha shughuli zake zaidi ya mataifa sita barani Afrika ambapo bidhaa zake usambazwa.

Orodha ya matajiri 20 bora Afrika

 1. Aliko Dangote, Nigeria

Utajiri: $12.2 bilioni

 1. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini

Utajiri: $7 bilioni

 1. Mike Adenuga, Nigeria

Utajiri: $6.1 bilioni

 1. Johann Rupert, Afrika Kusini

Utajiri: $6.3 bilioni

 1. Nassef Sawiris, Misri

Utajiri: $6.2 bilioni

 1. Christoffel Wiese, Afrika Kusini

Utajiri: $5.9 bilioni

 1. Nathan Kirsch, Swaziland

Utajiri: $3.9 bilioni

 1. Naguib Sawiris, Misri

Utajiri: $3.8 bilioni

 1. Isabel dos Santos, Angola

Utajiri: $3.1 bilioni

 1. Issad Rebrab, Algeria

Utajiri: $3 bilioni

 1. Mohamed Mansour, Misri

Utajiri: $2.7 bilioni

 1. Koos Bekker, Afrika Kusini

Utajiri: $2.1 bilioni

 1. Allan Gray, Afrika Kusini

Utajiri: $1.99 bilioni

 1. Othman Benjelloun, Morocco

Utajiri: $1.9 bilioni

 1. Mohamed Al Fayed, Misri

Utajiri: $1.82 bilioni

 1. Patrice Motsepe, Afrika Kusini

Utajiri: $1.81 bilioni

 1. Yasseen Mansour, Misri

Utajiri: $1.76 bilioni

 1. Folorunsho Alakija, Nigeria

Utajiri: $1.61 bilioni

 1. Aziz Akhannouch, Morocco

Utajiri: $1.58 bilioni

 1. Mohammed Dewji, Tanzania

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *