Miss Tanzania 2016, Diana Edward, amefanikiwa kutinga fainali za shindano la Beauty With A Purpose ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World.

Beauty With A Purpose huhusisha miradi mbalimbali ya kijamii ambayo hufanywa na washiriki wa Miss World.

Diana amewasilisha documentary ya masuala ya ukeketaji kwenye jamii ya watu wa Masai.

Pamoja na Diana kuonesha kufanya vizuri, tangu atawazwe kuwa Miss Tanzania mwaka huu, baadhi ya watu wameonekana kuupinga ushindi wake.

Fainali za Miss World mwaka  huu zitafanyika December 18, nchini Marekani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *