Mhandisi Stella Manyanya amsimamisha kazi mkuu wa chuo cha Bunamhala

0
386

Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya amemsimamisha kazi aliyekuwa mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii, Bunamhala Bw. Ramadhani Said katika Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu kutokana na utendaji usioridhisha.

Naibu waziri huyo ameteua Bi. Levina Mrema kushika nafasi hiyo ya mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii kilichopo Bariadi mkoani Simuyu.

LEAVE A REPLY