Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12 ambaye ni raia wa Ghana.

Anaishi na familia yake katika kijiji chaAmankrom kilicho umbali wa kilomita 45 kutoka mji mkuu Acca.

Familia yake ni thuluthi moja ya watu 600 wanaoisha katika kijiji hicho nchini Ghana ambapo ndiyo makazi yake.

Sina kaka wala shangazi,ndio sababu niliamua kuwa na watoto wengi ndio wapate kunipa maziko yaliyo mazuri nikifa.

Familia hiyo yake hata hivyoy imemgharimu pakubwa. anasema alikuwa mtu mwenye mali, lakini male hiyo ilipungua kutokana na gharama ya kuitunza familia yake kubwa

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *