Mshambuliaji wa Tanzania na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ameenguliwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika.

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetoa orodha ya wachezaji watano ambao watashindania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2016, kwa wachezaji wa jumla na wachezaji wa ligi za barani Afrika.

Wanaoshindania tuzo ya jumla ya Mchezaji Bora wa Afrika wa Mwaka ni

  • Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon na Borrusia Dortmund
  • Riyad Mahrez wa Algeria na Leicester
  • Sadio Mane wa Senegal na Liverpool
  • Mohamed Salah wa Egypt na Roma
  • Islam Slimani wa Algeria na Leicester

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *