Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Salum Mayanga leo ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin utakaofanyika Novemba 11 mwaka huu.

Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Benin Novemba 11,2017 kwenye kalenda ya FIFA.

Kocha Mkuu Salum Mayanga amesema “Nimeita wachezaji 21 watakaoingia kambini Novemba 5 na nimejumuisha vijana 3 na jumla yao wachezaji 24”.

Mayanga ameongeza kuwa ameongeza wachezaji vijana ili kuwajengea uzoefu katika kujenga kikosi

Kikosi kilichotangazwa leo Oktoba 24,2017 na kocha mkuu wa Taifa Stars Salum Mayanga ni.
Magolikipa
Aishi Manula
Peter  Manyika
Ramadhan Kabwili

Mabeki
Boniphas Maganga
Abdi Banda
Gadiel Michael
Kelvin Yondani
Nurdin Chona
Erasto Nyoni na Dickson Job.

Viungo
Himid Mao
Hamis Abdallah
Mzamiru Yassin
Raphael Daud
Simon Msuva
Shiza Kichuya
Ibrahim Ajibu
Mohamed Issa
Faridi Mussa na Abdul Mohamed

Washambuliaji
Mbwana Samatta
Mbaraka Yusuph
Elias Maguli na Yohana Mkomola

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *