Mechi za klabu bingwa barani Ulaya zimeendelea jana usiku kwa michezo nane kupigwa katika viwanja tofauti.

Arsenal wakiwa nyumbani waliifunga Ludogorets Razgrad kutoka Bulgaria jumla ya 6-0, huku Mesut Ozil akipiga hat trick.

Barcelona wakiwa nyumbani katika dimba la Camp Nou waliibamiza Manchester City goli 4-0 huku Messi akifunga hat trick kwenye mechi hiyo.

Celtic wakiwa nyumbani wamekubali kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Borussia Monchengladbach ya Ujerumani.

-Matokeo mengine yapo kama ifuatavyo

Bayern Munich 4-1 PSV Eindhoven

Paris Saint-Germain 3-0 Basel

Dynamo Kiev 0-2 Benfica

Napoli 2-3 Besiktas

FC Rostov 0-1 Atlético Madrid

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *