Leo ligi kuu nchini Uingereza imeendelea katika viwanja tofauti ikiwa ni mzunguko wa sita toka ligi hiyo maarufu dunia kuanza.

Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo.

Manchester United 4-1 Leicester City

Bournemouth 1-0 Everton

Liverpool 5-1 Hull City

Middlesbrogh 1- 2 Tottenham

Stoke City 1- 1 West Brom

Sunderland 2- 3 Crystal Palace

Swansea City 1-3 Manchester City

Mechi ya Chelsea na Arsenal bado ajaanza tutawaletea matokeo ya mechi hiyo baada ya kumalizika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *