Mechi za kombe la klabu bingwa Ulaya (UEFA) zimeendelea jana katika viwanja tofauti barani Ulaya kwa mechi nane.

Matokeo ya mechi hizo zilikuwa kama ifuatavyo.

Liverpool  2 – 2 Sevilla

NK Maribor  1 – 1 Spartak Moscow

Feyenoord 0 – 4 Manchester City

Shaktar Donesky 2 – 1 Napoli

FC Porto 1 – 3 Besktas

RB Leipzig 1 – 1 Monaco

Real Madrid 3 – 0 Apoel Nicosia

Tottenham 3 – 1 Borussia Dortmund

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *