Ligi kuu nchini Uingereza leo imeendelea tena katika viwanja tofauti kwa michezo nane pekee.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo leo imeshinda goli 3-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa King Power.

Matokeo yote yapo kama ifuatavyo

Bournemouth 0 – 0 Tottenham

Arsenal 0 – 0 Middlesbrogh

Bunley 2 – 1 Everton

Hull 0 – 2 Stoke City

Leicester City 3 – 1 Crystal Palace

Swansea 0 – 0 Watford

West ham United 1 – 0 Sunderland

Mechi inayoendelea sasa ni Liverpool dhidi ya West Bromwich tutakuletea matokeo yake endelea kubakia na tovuti hii.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *