Ligi kuu ya Uingereza leo imeendelea kwa michezo sita katika viwanja tofauti nchini humo ikiwa ni michezo ya 15 toka ligi hiyo ianze.

Matokeo kama ifuatavyo

Watford 3- 2 Everton

Arsenal 3-1 Stoke City

Bunley 3-2 Bournemoth

Hull City 3-3 Crastal Palace

Swansea 3-0 Sunderland

Mechi ya Leicester City dhidi ya Manchester City itacheza baada ya muda mfupi katika uwanja wa King Power Stadium.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *