Marekani: Trump alegeza vikwazo dhidi ya Iran

0
134

Rais wa Marekani, Donald Trump amelegeza vikwazo dhidi ya Iran kutokana na mpango wake wa nyuklia tofauti na hapo awali.

Hatua hii ni kufuatia vikwazo dhidi ya Iran vilivyotolewa mwaka 2015 chini ya Barack Obama akiungwa mkono na mataifa mengine matano yenye nguvu.

Wakati wa kampeni, Trump alitishia kufuta makubaliano hayo ambapo Iran ilikubali kupunguza kiasi chake.

Trump amesema vikwazo zaidi vinahitajika kupambana na utengenezaji wa silaha za nyuklia duniani.

Ameongeza kuwa Marekani itaweka pia vikwazo kwa maafisa pamoja na wafanya biashara kutoka China ambao wanahusishwa na mpango wa nyuklia wa Iran.

Iran ni miongoni mwa nchi saba ziliwekewa vikwazo na Marekani kutokana na kujihisisha na masuala ya Nyuklia.

LEAVE A REPLY