Mchekeshaji maarufu nchini Marekani, Kevin Hart amefunga ndoa na mpenzi wake Eniko Parrish katika jiji la Calfonia nchini Marekani.

Hart alianza kumchumbia mpenzi wake Eniko Parrish toka mwaka 2014 katika sherehe ya kuzaliwa ya mwanamke huyo iliyofanyika nchini Marekani.

H.HERT

Sherehe hiyo ya harusi iliudhuriwa na watu wa karibu wa mchekeshaji huyo pamoja na watoto wake wawili ambao akuzaa na mwanamke huyo.

Baada ya ndoa hiyo mchekeshaji huyo amesema kwamba mpenzi wake amevumilia mambo mengi sana mpaka kufikia ndoa hiyo kwahiyo anampongeza kwa uvumilivu aliouonesha wakati wapo wachumba.

Kevin Hart amejipatia umaarufu kutokana na sanaa yake ya uchekeshaji na kujizolea umaarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla.

KEVIN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *