Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika kuwa baada ya kupitia magazeti makuu leo amebaini uzito wa usalama wa maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji.

Zitto Kabwe amebainisha hayo baada ya kutokea mauaji ya askari Polisi nane wilayani Kibiti wiki iliyopita.

Mbunge huyo wa Kigoma Mjini ameandika kama ifuatavyo

Mkuranga, Kibiti na Rufiji ( #MKIRU ) ni eneo ambalo lazima kazi kubwa ya ujasusi wa kiusalama ifanyike. @mwigulunchemba1 simamia hili haswa

Nimetazama magazeti makuu Leo, English and Swahili, naona uzito wa usalama wa eneo la #MKIRU unakuwa mdogo. Makosa makubwa @mwigulunchemba1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *