Naibu waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla amemwagia sifa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya kuzindua Perfume yake yenye jina la ‘Chibu Perfume’.

Kupiptia akaunti yake ya Instagram Kigwangalla ameadika ‘Sikuwahi kuwa mshabiki wa msanii huyu kijana @diamondplatnumz, kama nilivyosema hapo nyuma kidogo, japokuwa nimekuwa nikifuatilia na ku-enjoy muziki wake; Ila toka nimeanza kumfuatilia nimegundua kuwa, this young man is not only a good entertainer, but also a talented entrepreneur and businessman.

He does business in music, he does a business of entertainment. Sasa naona kupitia kipaji chake cha ujasiriamali, naona ameamua kuwa muwekezaji, an investor! This is incredible.

mond

Keep stepping up your game son, that’s the way to do it! Hakika wewe umetoka #NjeYaBox, na Mungu akuongoze ubaki huko huko juu, usishuke! I wish wasanii wenzako pia watoke nje ya box kifikra, wafanye biashara kwenye vipaji vyao, wageuze changamoto kuwa fursa, waache kulalamika.

Pia ameongeza wasanii wenzake wapige kazi tu! #HapaKaziTu! Kwa sababu nyie watu mashuhuri mkigeuza crowds zenu kama chanzo cha solo la bidhaa zenu, kwa hakika mtafanikiwa sana! Changamoto kwenu wadogo zangu…#chibudangote #chibu #diamondplatnumz ??#MzeeWaField #Dr_Kigwangalla #HamisiKigwangalla #SiasaNiVitendo #supportingourown #MadeInTanzania #Tanzanian #ProudlyTanzanian Pongezi nyingi kwa team nzima nyuma ya Diamond ? @sallam_sk @babutale @mkubwafellatmk.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *