Baada ya mechi ya Manchester United kumalizika msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika maneno ya kumsifia kiungo wa Manchester United, Hander Hererra.

Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika kwa ksema kuwa “Ufundi wa Hererra pale OT leo,,ni zaidi ya kumuona Wema Sepetu akiwa na kanga moja iliyolowa maji @shaffih @edokumwembe @wemasepetu ??? #GGMU ?

haji-manara-768x580

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *