Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF, Jamal Malinzi leo amepandishwa mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Malinzi na maofisa wawili wa shirikisho hilo wamepanisha kizimbani wakikabiliwa na makosa ya utakatishwaji wa fedha.

Viongozi hao walifika mahakama ya Kisutu leo kusikiliza kesi yao ambapo wamekosa tena dhamana na kurudishwa mahabusu.

Mahakama hiyo imewarudhiwa ruamde viongozi hao mpaka kesi yao itakapotajwa tena hadi Julai 31 mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *