Makundi matano yamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Mashindano ya Dance 100% baada ya mchuano mkali wa makundi kumi kuonesha uwezo wa hali ya juu, katika hatua ya nusu fainali.

Shindano la Dance100% hatua ya nusu fainali limefanyika katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mamia ya mashabiki.

Makundi yaliyofanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Dance100% 2016 ni haya yafuatayo.

BBK Boys

Team Makorokocho

Wazawa Crew

Clever Boys

D.D.I Crew

Makundi ambayo yameaga mashindano ya Dance100% mwaka huu wa 2016 ni haya yafuatayo.

  1. Combat Crew kutoka Zanzibar.

Mazabe Poweder

The Quest Crew

Tatanisha Crew

The Heroes Crew

Shindano la Dance100% linaendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukuza sanaa ya Dance nchini, Shindano hilo limeanzishwa na EATV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *