Muigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Ismail Issa Makombe maarufu kama “Baba Kundambanda”  amefariki dunia akiwa nyumbani kwake Masasi mkoani Mtwara.

Mchekeshaji huyo alipata umaarufu kupitia fani hiyo ya uigizaji nchini ambapo alikuwa kwenye kundi la Vituko Show.

Kundambana pia alikuwa mgombea Ubunge katika nyimbo la Masasi kupitia Chama cha Wananchi ‘CUF’ pamoja na UKAWA kwenye Uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *