Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi wilayani Kibiti mkoani Pwani.

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro akionesha baadhi ya vitu walivyowakuta navyo watuhumiwa hao zikiwemo bunduki nane, Pikipiki mbili na nguo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro akionesha baadhi ya vitu walivyowakuta navyo watuhumiwa hao zikiwemo bunduki nane, Pikipiki mbili na nguo.

Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo walizokuwa wanatumia kwa uhalifu.

Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *