Magufuli amteua Charles Kichere kuwa naibu kamishna mkuu wa TRA

0
536

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Bw. Kichere ameteuliwa kuzaja nafasi iliyokuwa wazi kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

Uteuzi wa Bw. Kachere unaanza rasmi leo tarehe 20/11/2016

uteuzi

LEAVE A REPLY